Tumaini letu

Kwa kupatana na ufunuo wa Biblia. Tumaamini kuwa kilele cha mpango wa Mungu ni urejezwaji wa viumbo vyote katika mapatano kamili na mapenzi yake na haki yake kamilifu.