Maofisa wa Jimbo

Artboard 1Viongozi

Kwa kawaida Jimbo huongozwa na Mwenyekiti (Askofu) akisaidiwa kwa karibu na Katibu Mkuu Mtendaji na Mhazini.

Lakini pia wapo wakurugenzi wanaomsaidia Mwenyekiti katika Idara mbalimbali na vitengo mbalimbali na kisha watumishi wengine ni Wahasibu katika idara ya Fedha, Makatibu Muhtasi, Dereva na walio katika kitengo cha Usafi.

Idara ya fedha huongozwa na Mhazini akisaidiwa kwa karibu sana na Mhazini Mwenza na mhasibu Mkuu. Lakini pia Jimbo lina Msimamizi wa Mali za Kanisa (Estate Manager) ambaye anasimamia Majengo, Viwanja na Mashamba ya Kanisa.

Mch. Joseph J. Matongo
Karibuni Jimbo la Mara
Mch. Benjamin Ngalama Biha
Karibuni Jimbo la Mara
Pardon N. Kikiwa
Karibuni jimbo la Mara